​TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO

​TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO…

1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe – Mramba
2. Graduate msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora – JK
4. Acheni wivu wa kike – Msekwa
5. Asieweza lipa nauli apige mbizi – Magufuli
6. Baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo kwao urambo – mlitaka nipande punda – Kapuya
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio – Masaburi
9. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua – Wassira
10. Ngeleja kila siku ananinunulia chai wakati nina uwezo wakujilipia – Anne kilango

Source: SMS

Advertisement

Leave a Comment

Filed under Humour

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s